Mungu huona mwisho tangu mwanzo na huongoza wanadamu kwenye njia ya wokovu. Kama Yoshua na Kalebu walivyookolewa kwa kumtii Mungu, Aonaye mustakabali, kwa imani katika maneno Yake, leo, pia, Mungu huokoa wale wanaotii neno Lake, na sio mawazo yao wenyewe.
Yesu Alitekeleza kazi ya wokovu, Akitabiri kwamba Petro atamkana mara tatu na kwamba Yuda Iskariote atamsaliti. Hali kadhalika, Kristo Ahnsahnghong Alitangaza mapema kwamba Atapaa Mbinguni baada ya kumaliza misheni Yake, na Akatufundisha kwamba tunapaswa kumfuata Mungu Mama kwa ajili ya wokovu wetu.
"Ni mimi nitangazaye mwisho tangu mwanzo, naam, tangu zamani za kale, mambo ambayo hayajatendeka. Ninasema: Kusudi langu ndilo litakalosimama, nami nitatenda mapenzi yangu yote."
Isaya 46:10
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha