Neno la Mama (Sauti ya Kiswahili)
Tukilikumbuka neno la Mungu, “Msijisifu kwa ajili ya kesho,” na kuishi kwa uaminifu leo kwa ajili ya injili inayompendeza Mungu, baraka nyingi zitahifadhiwa mbinguni.
Kama vile Mungu Alivyowalisha Waisraeli jangwani kwa miaka 40, lazima tuamini kwamba sikuzote Anatusaidia. Kukesha kunamaanisha kuwaongoza wale ambao hawana msaada katika uso wa maafa ya ghafla hadi Sayuni, ambapo Mungu yupo na Anatulinda, ili kwamba hata nafsi moja zaidi iokolewe.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha