Kwa kuwa maneno yote ya Roho Mtakatifu ni uzima, wanadamu wanahitaji kabisa Roho Mtakatifu.
Kama vile viungo vyote vya mwili vinavyoelekezwa na kichwa, wanadamu lazima watii mapenzi ya Mungu, Roho Mtakatifu, kwa kushika Sabato, itoayo baraka, na Pasaka, itupayo uzima wa milele na ahadi ya kuepuka maafa.
Ni lazima tukimbie mbio za imani, tukitazamia thawabu ya ufalme wa mbinguni, na tuwe na kiasi katika kila jambo.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha