Utukufu wa ulimwengu huu ni wa kupita muda mfupi, kama ukungu wa asubuhi unaotoweka haraka au kama mapovu yanayotoweka. Walakini, yale Mungu Anayotujalia katika ufalme wa mbinguni—uzima, ujana, furaha, na utukufu—ni ya milele. Wale wanaotii amri ya Mungu kwa furaha kuwaongoza wale wanaoishi kwa hofu katika ulimwengu huu wenye taabu hadi Sayuni ili wapate faraja, watang’aa kama nyota katika ufalme wa mbinguni.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha