Kwenye kimbilio la mfungwa wa kiroho aliyehukumiwa kifo,
kwenye ulimwengu wa ukiwa uliojaa maumivu ya mauti,
Baba wa Mbinguni Ahnsahnghong
Amekuja kama nuru.
Baba yetu
Alikuja kutoka Mashariki.
Mama Aliacha nyuma kiti cha enzi cha Mbinguni, kiti cha enzi cha utukufu,
kuwatafuta wapendwa Wake wanaotangatanga gizani.
Tunatoa shukrani na sifa za milele
kwa Baba Ahnsahnghong kwa kuja duniani
na kutuokoa sisi, watoto Wake.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha