Kwa kuwa ibada ya Jumapili na Krismasi ni amri zilizotungwa na wanadamu na hazikuanzishwa na Mungu, kufanya ibada kwa ujinga na kuishi maisha kama hayo ya imani ni bure, na hatuwezi kuingia katika ufalme wa mbinguni. Kwa makutano katika enzi hii wanaodai “kumwabudu Mungu,” kuzishika amri za Mungu—siku ya Sabato na Pasaka—ndiyo njia sahihi ya ibada inayoongoza kwenye wokovu.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha