Waumini wa Kanisa la Mungu hufuata mafundisho ya Kristo, wakilichukua Kanisa la mapema kama kielelezo chao. Kama vile wazo ovu la Yuda Iskariote la kumsaliti Yesu lilivyopelekea maangamizi, na tamaa ya Kanisa la mapema kufuata njia ya Kristo ilivyoongoza kwenye ufalme wa mbinguni, vivyo hivyo hata leo, maafa na baraka zinazokuja juu ya wanadamu ni matokeo ya mawazo yetu.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha