Kwa kuwa sisi wanadamu tulishuka
hapa duniani kwa kutenda dhambi
kubwa mbinguni, dhambi zetu hazitakaswa
bila maumivu.
Pia, maumivu na mateso mengi
hufuata katika mchakato wa kuzaliwa
upya kama asili ya malaika.
Tunapokamilisha umoja kamili na kubadilishwa
kutoka asili kama soda ya kola kwenda
asili kama maji tulivu kupitia
michakato hii yote, Mungu Atapendezwa
na kutupa baraka ya uzima wa milele.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha