Watu wanaoishi katika dunia hii wanaishi maisha yenye kuchosha iwe wana vingi au vichache. Kwa kuadhimisha Pasaka ya agano jipya, tumekuwa mwili mmoja na familia pamoja na Mungu. Kwa kuwa Mungu Amekuwa Baba yetu, sisi, watoto Wake, tuna uraia mbinguni. Kama watoto wa Mungu, hebu tuishi maisha ya utauwa kulingana na neno la Mungu na kwa bidii tuhifadhi baraka mbinguni kwa ajili ya shangwe na furaha tutakayofurahia katika ufalme mtukufu wa mbinguni.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha