Mungu Mwenyewe Aliiamuru Pasaka wakati wa kutoka kwa Waisraeli, Akiamuru, “Iadhimishe kila mwaka,” naye Akaweka makerubi kulinda njia ya kuuendea mti wa uzima katika Bustani ya Edeni. Kwa sababu ni Mungu pekee Awezae kufungua njia ya Pasaka, uhalisia wa mti wa uzima, Yesu Alikuja miaka 2,000 iliyopita, na Kristo Ahnsahnghong Alikuja katika siku hizi za mwisho.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha