Mungu Alipokuja katika dunia hii katika mwili, Akiwa na jina “Yesu,” kulingana na unabii, Waisraeli wa wakati huo walimwamini Mungu lakini hawakumwamini Yesu.
Vivyo hivyo, ingawa Mungu Amekuja kama Roho Mtakatifu na Bibi arusi kulingana na unabii, watu wengi hawaifuati njia ya ufalme wa mbinguni kama walivyofundishwa na Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama. Badala yake, wanafanya yale yale waliyoyafanya wale waliomtesa Yesu, wakimwita “dhehebu la Wanazarayo.”
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha