Biblia inasema, “Mshahara wa dhambi ni mauti” (Rum 6:23). Hii inaonyesha kwamba mauti hutokana na dhambi. Wanadamu wote wanaozaliwa katika ulimwengu huu wamekusudiwa kufa. Kwa hiyo, dunia hii inaitwa ulimwengu wa dhambi. Basi, ni dhambi gani inayosababisha mauti—je, ni dhambi iliyotendwa duniani au dhambi iliyotendwa mbinguni?
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha