Sura za 1, 2 na 3 za kitabu cha Mwanzo zinaonekana kuwa kumbukumbu ya historia fupi. Hata hivyo, zinapotafsiriwa kiroho, zinafunua kipindi kirefu na pana cha historia. Simulizi la Adamu, Eva na nyoka halipaswi kuonekana tu kama hadithi ya kale kuhusu Bustani ya Edeni, kama Wakristo wengi wanavyolichukulia. Katika historia hiyo, tunaweza kugundua kweli za kina kuhusu ulimwengu uliotangulia na ulimwengu huu wa sasa.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha