Makanisa mengi ya Kikristo huenda yakadhani kwamba nchi ya mbinguni tunayokwenda ni Bustani ya Edeni, ambako Adamu na Eva waliishi. Lakini kama kweli ingekuwa ni Bustani ya Edeni, kungekuwa na mambo mengi yanayokinzana. Katika Bustani ya Edeni kulikuwa na mfumo wa ndoa, na wenzi wa ndoa waliamriwa “zaeni, mkaongezeke.” Ikiwa wanadamu wangezaa na kuongezeka katika ulimwengu ambamo hakuna kifo, basi baada ya miaka isiyohesabika, idadi ya watu katika ufalme wa milele wa mbinguni ingekuwa kiasi gani?
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha