Ingawa Mungu Anafundisha siri za ufalme wa mbinguni, kuna wale wasiozitambua. Hata hivyo, kuna watu waliobarikiwa wanaoamini, kutambua, na kuziweka katika vitendo wanaposikia siri za ufalme wa mbinguni. Waumini wa Kanisa la Mungu wanatambua ukweli wa Baba wa Mbinguni na Mama wa Mbinguni kwa mioyo yao, na daima hutembea katika njia ya injili kuelekea ufalme wa mbinguni kwa shukrani.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha