Yesu Alianzisha Pasaka ya agano jipya kwa mkate na divai na Akaamuru kuiadhimisha. Watakatifu wa Kanisa la awali wanaoheshimiwa na Wakristo wengi leo, wakiwemo Petro, Yohana, na Mtume Paulo, pia waliadhimisha Pasaka ya agano jipya kulingana na mafundisho Yake.
Hii ndiyo sababu waumini wa Kanisa la Mungu duniani kote wanaiadhimisha Pasaka.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha