Kwa kuwa mkate na divai ya Pasaka vinawakilisha mwili na damu ya Yesu, yaani, mti wa uzima, wale wanaoila na kuinywa wanawekwa huru kutoka katika dhambi ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya na kupata uzima wa milele.
Ndiyo maana miaka 2,000 iliyopita, Pasaka iliadhimishwa katika Kanisa la Mungu Alilolianzisha Yesu, na leo, waumini wa Kanisa la Mungu, mahali ambapo Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama hukaa, kwa utakatifu wanaiadhimisha Pasaka ya agano jipya, uhalisi wa mti wa uzima.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha