Melkizedeki alimbariki Abrahamu kwa mkate na divai, tofauti na makuhani wengine wote wa Agano la Kale. Vivyo hivyo, kwa kufuata mfano wa Melkizedeki, Kristo Yesu Ajaye Mara ya Kwanza na Kristo Ahnsahnghong Ajaye Mara ya Pili pia Wamewajalia wanadamu baraka za msamaha wa dhambi na uzima wa milele kwa njia ya mkate na divai ya Pasaka. Hii ndiyo sababu waumini wa Kanisa la Mungu ulimwenguni pote wanaiadhimisha Pasaka leo.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha