Baba na Mama hujaza Mbingu
na furaha Yao.
Kaka na dada hutoa sifa
na shukrani Kwao.
Kwenye galaksi zimejaa
nyota nyingi za baraka.
Chini ya hizo nyota,
yaandikwa majina yetu.
Nyumbani mbinguni
pamejawa shukrani zisizoisha.
Oh, napakumbuka!
Napatazamia!.
Tunaitamani sana siku ambayo
tutakula mezani pa Mungu wetu.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha