Katika Biblia, kuna unabii mwingi kuhusu Yesu Ajaye Mara ya Kwanza, Kristo Ahnsahnghong Aliyekuja mara ya pili, na Mungu Mama, lakini pia kuna unabii kuhusu watakatifu wanaoshuhudia kuhusu Mwokozi katika kila enzi. Waumini wa Kanisa la Mungu, wakiamini katika Biblia kwamba kuna mbegu nyingi zinazoanguka kwenye udongo mzuri, walipanda mbegu za injili kulingana na unabii. Matokeo yake, ulimwengu mzima sasa unautambua ukweli.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha