Kuna siri kumi na tatu za baraka ambazo Mama wa Mbinguni Amewafundisha wanafamilia wa mbinguni: Kutoa upendo na kuishi maisha huku tukimtukuza Mungu; kuangalia mambo kwa uzuri huku wakijitolea kwa wengine; kukumbatia kila kitu kama bahari kwa mtazamo wa mmiliki; tukiwa na unyenyekevu na roho ya kujitoa inayovumilia mateso ya sasa kwa moyo wenye shukrani; kutumikiana huku tukiwapongeza wengine.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha