Miaka elfu mbili iliyopita, Yesu katika enzi ya Mwana, na leo, Kristo Ahnsahnghong katika enzi ya Roho Mtakatifu, kila mmoja Alikuja kama mwanadamu wa kawaida katika mwili—jiwe katika Sayuni—ili kuwapa wanadamu wokovu. Kwa wale wasioamini, kuonekana kwa Kristo ni jiwe lenye kuwafanya watu wajikwae na mwamba wa kuwaangusha, lakini kwa wale wanaoamini, Yeye Hufanyika jiwe kuu la pembeni, msingi wa wokovu.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha