Hata fimbo iliyonyooka huonekana imepinda inapotumbukizwa ndani ya maji. Vivyo hivyo, watoto wa Mungu wanahitaji mtazamo wa kiroho ili kutambua ukweli. Fikra zetu za kimwili hutuzuia kuona maneno ya Mungu waziwazi na kutusababisha tuyatazame kwa upotovu, lakini fikra zetu za kiroho huturuhusu kuwatazama kwa usahihi Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama, Wanaotuongoza kwenye uzima na amani.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha