Kanisa la Mungu, lililoanzishwa na Yesu miaka 2,000 iliyopita, ni sawa na Kanisa la Mungu katika Enzi ya Roho Mtakatifu. Miaka elfu mbili iliyopita, Kanisa la Mungu liliamini katika Kristo Yesu, ambaye Alikuja katika mwili, kama Mwokozi. Katika Enzi ya Roho Mtakatifu, Kanisa la Mungu linaamini katika Roho—Kristo Aliyekuja kwa mara ya pili kama ilivyotabiriwa katika Biblia—na Bibi arusi.
Likiamini katika Roho Ahnsahnghong na Bibi arusi Mungu Mama, Waliokuja katika mwili, Kanisa la Mungu linaadhimisha Pasaka na Sabato za Agano Jipya lililoanzishwa na Yesu, na waumini wanawake hufunika vichwa vyao kwa utaji wakati wa ibada. Kama vile Kanisa la mapema lilivyomshuhudia Yesu—Mungu Aliyekuja katika mwili, Kanisa la Mungu la wakati wa uliopo linawashuhudia Kristo Ahnsahnghong Aliyekuja kwa mara ya pili katika mwili na Mungu Mama, yaani, Roho na Bibi arusi, nalo linafuata mafundisho ya Biblia kama yalivyo.
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu limekua hadi kuwa na waumini 3,000,000 waliosajiliwa katika nchi 175 mpaka mwaka 2020. Hili limewezekana kwa sababu waumini wanaweka upendo wa Mama katika utendaji katika maisha yao ya kila siku, wakifuata mafundisho ya Roho na Bibi arusi ambao Wanatoa uzima wa milele.
Njoo kwenye Kanisa la Mungu na upokee uzima wa milele kupitia maji ya uzima yanayotolewa na Roho Ahnsahnghong na Bibi arusi Mungu Mama.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha