Wakati wa Uumbaji wa siku sita, Mungu Alifanya wanyama wa kufugwa pamoja na wanyama pori naye Akawaumba Adamu na Eva mwishoni mwa kila kitu kwenye siku ya sita.
Hii ilikuwa kushuhudia kuhusu Adamu na Eva wa kiunabii yaani, Roho na Bibi arusi ambao Watatokea katika enzi ya Roho Mtakatifu ili kuwapa wanadamu maji ya uzima.
Kanisa la Mungu linaamini katika Adamu wa mwisho, yaani, Kristo Ajaye Mara ya Pili Ahnsahnghong, na Eva wa mwisho, Mungu Mama.
Hata hivyo, tangu wakati wa Adamu hadi wakati wa Mose, mauti ilitawala watu wote, hata wale ambao hawakutenda dhambi kwa kuvunja amri, kama alivyofanya Adamu, ambaye alikuwa mfano wa yule atakayekuja.
Warumi 5:14
Adamu akamwita mkewe Eva, kwa kuwa atakuwa mama wa wote walio hai.
Mwanzo 3:20
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha