Leo, watu wengi wanaiona siku ya Sabato kama sheria ya Agano la Kale. Walakini Biblia inatufundisha kuishika Sabato ya Agano Jipya kwa kufuata kielelezo cha Kristo.
Katika nyakati za Agano la Kale—kivuli—wana-kondoo walitolewa dhabihu na damu yao ilimwagika, na kupitia dhabihu hizi, watu walifanya ibada kwa Mungu. Katika nyakati za Agano Jipya—uhalisi—Waebrania 7 inatufundisha tofauti: “Kwa kuwa yanapotokea mabadiliko ya ukuhani, pia lazima yawepo mabadiliko ya sheria.” Kwa hivyo, namna ya sisi kuabudu imebadilika.
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu inafuata kielelezo cha Yesu na kumwabudu Mungu siku ya Sabato [Jumamosi] katika roho na kweli.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha