Siku hizi, makanisa mengi yanadai kwamba yanaishika Pentekoste na yamempokea Roho Mtakatifu.
Walakini, tunaweza kupokea baraka za Roho Mtakatifu tunapoadhimisha Pentekoste siku Aliyoamuru Mungu kulingana na agizo Aliyoanzisha.
Siku ya Pentekoste ni siku ya hamsini baada ya Siku ya Malimbuko [Siku ya Ufufuo].
Kulingana na neno la Yesu, wanafunzi walisali katika chumba cha juu cha Marko kwa muda wa siku kumi tangu Siku ya Kupaa na walipokea Roho Mtakatifu kwa kushika Pentekoste.
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu ndilo kanisa pekee linalopokea baraka ya Roho Mtakatifu aliyetabiriwa katika Biblia kwa kuadhimisha Siku ya Pentekoste kulingana na maneno ya Yesu.
Siku ya Pentekoste ilipowadia, waamini wote walikuwa mahali pamoja.
Ghafula sauti kama mvumo mkubwa wa upepo mkali uliotoka mbinguni ukaijaza nyumba yote walimokuwa wameketi.
Zikatokea ndimi kama za moto zilizogawanyika na kukaa juu ya kila mmoja wao.
Wote wakajazwa na Roho Mtakatifu, wakaanza kunena kwa lugha nyingine, kama Roho alivyowajalia.
Matendo 2:1–4
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha