Sikuzote Mungu Ametufundisha njia ya
wokovu pamoja na unabii kuhusu maafa.
Kupitia historia katika nyakati za
Mose, Waisraeli walipokuwa utumwani, na
historia ya Israeli ya kaskazini na
Yuda ya kusini, Alitujulisha kwamba
njia pekee ya kuepuka maafa ni Pasaka.
Leo, Jamii ya Misheni ya Dunia
ya Kanisa la Mungu ndilo kanisa pekee
linaloadhimisha Pasaka kwa njia ya
mkate na divai jioni ya siku ya
kumi na nne ya mwezi wa kwanza
kulingana na kalenda takatifu kulingana
na mafundisho ya Yesu.
Vivyo hivyo baada ya kula,
akakitwaa kikombe, akisema, “Kikombe hiki
ni agano jipya katika damu
yangu, imwagikayo kwa ajili yenu.
Luka 22:20
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha