Kanisa la mapema, lililomwamini Yesu kuwa Mungu pamoja na kushika na kuhubiri agano jipya, lilikuwa kanisa la uzushi kwa mtazamo wa Kiyahudi, lakini kwa mtazamo wa Mungu, lilikuwa kanisa la kweli.
Biblia pekee ndiyo kanuni ya kuamua uzushi ni nini. Kanisa lolote linaloshikamana na mafundisho yaliyotungwa na wanadamu ambayo hayapatikani kwenye Biblia ni kanisa la uzushi kamili na hatimaye litaharibiwa.
Leo, kanisa pekee linaloshika ukweli wa agano jipya lililoanzishwa na Yesu miaka 2,000 iliyopita, zikiwemo Sabato na Pasaka, ni Kanisa la Mungu.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha