Taarifa za Biblia zinatuonyesha kwamba Yesu Alizaliwa katika majira ya joto wakati ambapo kondoo waliweza kulisha hata wakati wa usiku.
Desturi ya kusherehekea kuzaliwa kwa Yesu Desemba 25, ambayo si majira sahihi kwa ajili ya kuzaliwa kwa Yesu, yalitokana na sikukuu za Roma za mungu jua. Desturi hii iliingizwa kwenye kanisa baada ya Enzi ya Kitume.
Kanisa la Mungu halisherehekei Krismasi, Desemba 25, kama siku ya kuzaliwa kwa Yesu katika kutii mafundisho ya Biblia yaliyotolewa na Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha