Biblia inatabiri kwamba Mungu, Anayekuja katika mwili, Atatawala katika kiti cha enzi cha Daudi. Hii inamaanisha kwamba kama vile Daudi alivyoketi kwenye kiti cha enzi akiwa na umri wa miaka 30, Mungu Atakapokuja katika mwili, Atabatizwa Akiwa na umri wa miaka 30 na kuanza huduma Yake ya injili. Hii ni ishara muhimu ya kumtambua Mungu Anapokuja katika mwili.
Walakini, tofauti na Mfalme Daudi, aliyetawala juu ya taifa kwa muda wa miaka 40, Yesu Alitekeleza huduma Yake ya injili kwa miaka mitatu kabla ya kupaa mbinguni. Kwa hiyo, ili kutimiza miaka 37 iliyobaki ya unabii, Mungu lazima Aje kwa mara nyingine tena katika mwili.
Kulingana na unabii wa utawala wa Daudi, Kristo Ahnsahnghong Alibatizwa Akiwa na umri wa miaka 30 na Alitimiza miaka 37 iliyobaki ya huduma ya injili. Pia Alileta agano la milele, Pasaka ya Agano Jipya, ambayo ni ishara nyingine ya Daudi.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha