Unyenyekevu, Tabia Inayohitajika Kuingia katika Ufalme wa Mbinguni Unyenyekevu ni tabia ambayo lazima tuwe nayo ili kuingia mbinguni.
Takribani miaka 2,000 iliyopita, Yesu Alipoingia Yerusalemu, Aliweka kielelezo cha unyenyekevu kwa kumpanda mwana-punda. Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama, Waokozi katika enzi ya Roho Mtakatifu pia Walituonyesha kielelezo cha kuwatumikia wengine, Wakijishusha Wenyewe kwa kuja katika mwili.
“Mungu huwapinga wenye kiburi, lakini huwapa wanyenyekevu neema.” Kama vile Nikolao, Mfalme wa Urusi, alivyomwelimisha mwanajeshi mwenye kiburi kwa mwenendo wake wa unyenyekevu alipokuwa akikagua kambi za jeshi akiwa amevaa sare za kawaida za kijeshi, waumini wa Kanisa la Mungu hujitolea wenyewe katika kuonyesha utukufu wa Mungu kupitia mwenendo wao wa unyenyekevu. Yakobo 4:6
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha