Kanisa la Mungu Linawasilisha Habari Njema ya Wokovu kwa Ulimwengu Mzima Mungu Anawafundisha watoto Wake kwamba mambo yote yanafanyika kulingana na imani yetu, na Aliahidi kwamba katika enzi ya Roho Mtakatifu wale tu wanaochukua hatua kwa imani wataweza kuvuna baraka ya misheni kuu ya “Kuokoa ulimwengu mzima.”
Aliyetuletea Ukweli wa agano jipya ni Mungu Wetu Kama katika neno la Mungu kwamba kazi ya neema ya toba na msamaha wa dhambi itaanza katika Yerusalemu na kuhubiriwa kwa mataifa yote, watu kutoka mataifa yote huruka kama mawingu kwa Kristo Ahnsahnghong na Mama wa Mbinguni ambao wametuletea ukweli unaotuongoza kwenye ufalme wa mbinguni.
Marko 16:15–16
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha