Kama vile bahari haiozi kwa sababu ya asilimia 3 ya chumvi ndani yake, vivyo hivyo watoto wa Mungu wanapaswa kuchukua jukumu la chumvi ulimwenguni kwa maneno mema na matendo mema, bila kufuata ulimwengu huu wa dhambi na kuishi maisha matakatifu ili kumpendeza Mungu.
Mtume Paulo aliandika katika barua yake kwa watakatifu wa kanisa la Rumi: “Msifuatishe tena mfano wa ulimwengu huu, bali mgeuzwe kwa kufanywa upya nia zenu. Ndipo mtaweza kuonja na kuhakikisha ni nini mapenzi ya Mungu yaliyo mema, yanayopendeza machoni pake na ukamilifu.” (Warumi 12:1–2)
Tunapaswa kutumia maneno mema na chanya kulingana na mafundisho ya Mungu Mama. Tukiwa na maneno mema, matendo mema, na tabia njema, maneno yetu yanaweza kupandwa kwenye udongo mzuri.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha