Maisha ya mwili hatimaye yataishia mautini, na baada ya hapo, kwa mujibu wa matendo ya mtu hapa duniani, watahukumiwa kulingana na Biblia na kupelekwa jehanamu.
Walakini, Biblia inasema kwamba wale wanaoshiriki katika ufufuo wa kwanza, kwa kuadhimisha Pasaka ya agano jipya, ambayo ni sherehe ya kula mwili wa Yesu na kunywa damu Yake, ni tofauti nao hawatahukumiwa.
Kristo Ajaye Mara ya Pili Ahnsahnghong Aliahidi kusamehe dhambi zote kupitia Pasaka, naye Alituruhusu kushiriki katika ufufuo wa kwanza bila kuhukumiwa, naye Ametujalia baraka ya uzima wa milele na fursa ya kuingia mbinguni.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha