Vitu vyote ulimwenguni vimepangwa na kuongozwa na Mungu kulingana na mapenzi Yake.
Miaka elfu mbili iliyopita, Yesu Aliuliza, “Mnaamini kwamba ninaweza kufanya jambo hili?” na baada ya kuona imani ya vipofu wawili, Akayafungua macho yao mapofu.
Katika kazi zote za injili, jambo muhimu zaidi ni imani katika Mungu.
Leo, ulimwengu wote unamwabudu na kumsifu Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama kwa sababu Mungu Ametimiza yote, kama ilivyosemwa, “Injili itahubiriwa kwa ulimwengu wote,” na watakatifu waliompokea Roho Mtakatifu kwenye Sikukuu ya Vibanda wameamini. na kuyaweka maneno hayo katika vitendo.
Yesu alipokuwa akiondoka mahali pale, vipofu wawili wakamfuata wakipiga kelele kwa nguvu na kusema, “Mwana wa Daudi, tuhurumie!”
. . . Yesu akawauliza, “Mnaamini kwamba ninaweza kufanya jambo hili?” Wakamjibu, “Ndiyo, Bwana.”
Ndipo Yesu akagusa macho yao na kusema, “Iwe kwenu sawasawa na imani yenu.” Macho yao yakafunguka. . . .
Mathayo 9:27–30
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha