Kama vile uhai na maji ni visivyotengeka duniani, ili tupokee uzima wa milele na tuishi kwa furaha katika Ufalme wa Mbinguni, lazima tupokee maji ya uzima.
Kwa kuwa Roho na Bibi arusi Walituambia tupokee maji ya uzima, lazima tuwatambue na tuwaamini Roho na Bibi arusi kupokea maji ya uzima.
Biblia inashuhudia kwamba Mungu Ahnsahnghong na Mama wa Mbinguni ndio Roho na Bibi arusi. Mungu Anatujalia maji ya uzima katika Kanisa la Mungu ambapo Wanakaa.
Roho na bibi arusi wanasema, “Njoo!” Naye asikiaye na aseme, “Njoo!” Yeyote mwenye kiu na aje, na kila anayetaka na anywe maji ya uzima bure. Ufunuo 22:17
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha