Baada ya kuharibiwa na Roma mwaka 70 B.K., Israeli ilitangatanga duniani kote bila taifa kwa miaka 1,900, hadi ilipopata uhuru kimuujiza mwaka 1948.
Kulingana na unabii wa mtini, Kristo Ahnsahnghong Aliketi katika kiti cha enzi cha Daudi mwaka 1948 Israeli ilipopata uhuru. Yeye ndiye Kristo Ajaye Mara ya Pili.
“Basi jifunzeni somo hili kutokana na mtini: Matawi yake yanapoanza kuchipua na kutoa majani, mnatambua kwamba wakati wa kiangazi umekaribia. Vivyo hivyo, mnapoyaona mambo haya yote, mtambue kwamba wakati u karibu, hata malangoni.” (Mt 24:32–33)
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha