Kama vile Mfalme Yosia na Mfalme Hezekia walivyoondoa sanamu zote na kumtumikia Mungu pekee kwa moyo na akili zao zote walipoadhimisha Pasaka, leo pia, tunaweza kushika amri ya kwanza, “Usiwe na miungu mingine ila mimi,” kwa kushika tu Pasaka ya agano jipya.
Sisi, wanadamu, hatuwezi kamwe kuokolewa wala kubarikiwa tunapotumikia miungu mingine badala ya Mungu. Ndiyo maana Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama Wameirudisha Pasaka ya agano jipya ambayo kupitia hiyo tunaweza kumtumikia Mungu pekee, na kutuomba tuiadhimishe.
“Shika Pasaka kwa BWANA Mungu wako, kama ilivyoandikwa katika Kitabu hiki cha Agano.” . . . Kabla wala baada ya Yosia, hapakuwa na mfalme kama yeye aliyemrudia BWANA kwa moyo wake wote, roho yake yote na nguvu zake zote, . . . 2 Wafalme 23:21–25
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha