Kabla sayansi ya anga za juu haijakuzwa, baadhi ya watu waliona Biblia kuwa mithiolojia.
Walakini, leo, sayansi inathibitisha kwamba Biblia ni kweli. Ahnsahnghong, yaani, Kristo Aliyekuja duniani kwa mara ya pili, Alitufundisha kwamba Biblia ni kitabu pekee kinachotuongoza kwenye wokovu.
Miaka 3,500 iliyopita, dhana ya ulimwengu wa juu katika Enzi ya Shaba ilikuwa mbali na ukweli. Watu hawakuweza hata kuwaza kwamba dunia imeningʼinizwa katika anga za juu. Walakini, katika kitabu cha Ayubu, kilichoandikwa miaka 3,500 iliyopita katika Enzi ya Shaba, maarifa juu ya falaki ya kisasa yalikuwa yameshaandikwa tayari.
Biblia inaifafanua dunia kana kwamba ilipiga picha kutoka kwenye setilaiti.
Kitabu cha Ayubu kiliandikwa miaka 3,500 iliyopita katika Enzi ya Shaba.
Kwa kushangaza, maarifa juu ya falaki ya kisasa yaliandikwa katika kitabu cha Ayubu, ambacho kiliandikwa katika Enzi ya Shaba.
Katika enzi hii ya kisasa, ni ukweli unaofahamika sana kwamba dunia inaelea katika anga za juu. Lakini je, ilikuwa ni maafira ya kawaida pia katika Enzi ya Shaba?
Walakini, kadiri sayani ilivyokuzwa, ilithibitisha kwamba maandiko ya Biblia yalikuwa kweli.
Baadhi ya wanasayansi mashuhuri katika historia walisadikika kabisa kwamba Mungu yupo, na kwamba Biblia ilikuwa kweli. Tunatumaini mtaamini kabisa katika uwepo wa Mungu na katika uhakika wa Biblia, kupitia maneno ya uzima yanayohubiriwa katika Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha