Wakristo wengi leo wanaamini kwamba kuna Mungu Baba tu,
lakini maandishi ya awali ya Biblia yanamrejelea Mungu kama Elohim.
Inamaanisha kwamba hakuna Mungu Baba tu.
Kanisa la Mungu linaamini katika Mungu Elohim,
Kristo Ajaye Mara ya Pili Ahnsahnghong na Mungu Mama.
Ndipo Mungu akasema, “Tufanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu, . . .”
Kwa hiyo Mungu akamuumba mtu kwa mfano wake mwenyewe, kwa mfano wa Mungu alimuumba;
mwanaume na mwanamke aliwaumba.
Mwanzo 1:26–27
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha