Baada ya kufurahia mambo yote ambayo watu wa ulimwengu hutamani, hatimaye Solomoni alifika kwenye hitimisho kwamba kila kitu katika dunia hii ni ubatili mtupi, nalo ni kukimbiza upepo, na kwamba wanadamu lazima wamche Mungu na walitii neno Lake ili kupokea baraka.
Mungu huwabariki wale wanaozitii amri Zake, na kuwaweka juu juu ya mataifa yote.
Kama vile Wafalme Hezekia na Yosia wa kusini mwa Yuda walivyobarikiwa kwa kutii neno la Mungu, Kanisa la Mungu linasifiwa na kutukuzwa duniani kote kama matokeo ya kuweka katika vitendo mafundisho ya Kristo Ahnsahnghong na Mama wa Mbinguni.
Kama ukimtii BWANA Mungu wako kwa bidii na kufuata amri zake zote ninazokupa leo kwa bidii, BWANA Mungu wako atakuweka juu ya mataifa yote katika dunia.
Baraka hizi zote zitakuja juu yako na kukupata, kama ukimtii BWANA Mungu wako:
Kumbukumbu 28:1–2
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha