Ijapokuwa Mungu Amefungua njia kwa injili kuenea kupitia maendeleo katika sayansi na teknolojia, usafiri, na Mtandao, lazima tueneze ulimwenguni kote ujuzi wa agano jipya na ukweli kuhusu Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama.
Ijapokuwa Mtume Paulo aliwafunga na kuwatesa watakatifu, alifanya hivyo kabla ya kujua ukweli kuhusu Yesu Kristo. Vivyo hivyo, ni lazima tufundishe maarifa ya kweli ya Mungu kwa wale wasiolijua Kanisa la Mungu, Sabato na Pasaka bali wanazikashifu. Kwa kufanya hivyo, tunaweza kuwaongoza kupokea baraka ya wokovu, ambayo inampendeza Mungu zaidi.
Akawaambia, “Enendeni ulimwenguni kote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. Yeyote aaminiye na kubatizwa ataokoka. Lakini yeyote asiyeamini atahukumiwa.” Marko 16:15–16
Mungu Mwokozi wetu, anayetaka watu wote waokolewe na wafikie kuijua kweli. 1 Timotheo 2:3–4
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha