Wasomi wa Biblia wanasisitiza, “ ‘sisi’ katika Mwanzo linarejelea Utatu Mtakatifu.”
Walakini, madai yao yanaonyesha ukosefu wao wa uelewa kuhusu Utatu, ukweli wa msingi wa Ukristo.
Kuwepo kwa mwanaume na mwanamke, ambao waliumbwa kwa mfano wa Mungu, kunathibitisha kwamba Mungu Baba na Mungu Mama wapo.
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu linamwamini Mungu Mama, Aliyetokea katika mwili katika enzi hii kulingana na unabii wa Biblia na Anatoa uzima wa milele wa wanadamu.
Ndipo Mungu akasema, “Tufanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu, . . .”
Kwa hiyo Mungu akamuumba mtu kwa mfano wake mwenyewe, kwa mfano wa Mungu alimuumba; mwanaume na mwanamke aliwaumba.
Mwanzo 1:26–27
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha