Watoto wa Mungu lazima wajue ni siku gani wanaweza kukutana na Mungu. Mungu Aliumba mbingu na dunia kwa muda wa siku sita naye Akapumzika siku ya saba, Akiiweka kama amri ya nne kati ya Amri Kumi.
Yesu Aliiita Sabato “siku Yangu,” na Yeye Mwenyewe Aliweka kielelezo cha kushika Sabato.
Yesu akaenda Nazareti, alipolelewa, na siku ya Sabato alikwenda katika sinagogi kama ilivyokuwa desturi yake. Akasimama ili asome, Luka 4:16
Sabato ya siku ya saba sio Jumapili bali Jumamosi. Kama Biblia inavyoandika kwamba Yesu Alifufuka siku ya kwanza ya juma (Jumapili), tunaweza kuthibitisha kwamba siku ya Sabato ni Jumamosi.
Kufuatia maneno haya, Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu humwabudu Mungu Jumamosi—Sabato ya siku ya saba.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha