Vitu vyote katika ulimwengu huu viliumbwa kwa mapenzi ya Mungu. Mungu Aliumba viumbe vyote vipokee uhai kupitia akina mama. Haya ni mapenzi makuu ya Mungu kujulisha uwepo wa Mama wa Mbinguni, Anayewapa wanadamu uzima wa milele.
Mama wa Mbinguni ambaye Biblia inamshuhudia Mwanaume aliumbwa kwa mfano wa Mungu Baba ambaye ana mfano wa mwanaume, na mwanamke aliumbwa kwa mfano wa Mungu Mama ambaye ana mfano wa mwanamke.
Kama ambavyo watu wamemwita mfano wa mwanaume wa Mungu “Baba” kwa maelfu ya miaka, lazima tumtambue Mungu Mama ambaye Biblia inamshuhudia na tumpokee. Hii ndiyo hekima inayotuongoza mbinguni.
Lakini Yerusalemu wa juu ni huru, nayo ndiye Mama yetu. . . . sisi si watoto wa mwanamke mtumwa, bali wa yule aliye huru. Je, Unadadisi Kuhusu Mustakabali Wako? Wagalatia 4:26–31
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha