Mwili wetu ukipoteza 1–2% ya maji yake, linaweza kusababisha kiu ya kuzidi kiasi. Mwili wetu ukipoteza 12% ya maji yake, linaweza kuongoza kwenye kifo. Hii ni kivuli cha kile kilicho katika ulimwengu wa kiroho, kikionyesha kwamba maji ya uzima ni ya lazima kwa ajili ya kuhuisha nafsi zetu.
Roho na Bibi arusi tu—Kristo Ahnsahnghong na Mama wa Mbinguni Yerusalemu Mpya—Wanaweza kutoa maji ya uzima ambayo yanahuisha watu. Wao ndio Wanaomimina Roho Mtakatifu siku ya Pentekoste, kama ilivyotabiriwa na manabii Zekaria na Ezekieli katika Agano la Kale na na Mitume Yohana na Paulo katika Agano Jipya.
“Roho na bibi arusi wanasema, 'Njoo!' Naye asikiaye na aseme, 'Njoo!' Yeyote mwenye kiu na aje, na kila anayetaka na anywe maji ya uzima bure.”
Ufunuo 22:17
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha