Chini ya sheria ya Mose katika Agano la Kale, wauaji walipaswa kuuawa, lakini wale walioua mtu kwa bahati mbaya wangeweza kuishi kama wangekimbilia mji wa makimbilio. Hata hivyo, njia pekee kwao kurudi nyumbani kwa familia zao ilikuwa kupitia kifo cha kuhani mkuu.
Sheria ya mji wa makimbilio ni mfumo unaotumika kama kivuli, ukifunua ulimwengu wa kiroho. Wanadamu wote ni wenye dhambi waliohukumiwa kifo mbinguni na wamefungwa kwenye dunia hii, mji wa makimbilio wa kiroho. Hata hivyo, kupitia Pasaka ya agano jipya ambayo Yesu, Kuhani Mkuu, Alianzisha kupitia kifo Chake, tunaweza kurudi katika nyumba yetu ya kiroho, ufalme wa mbinguni.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha