Utatu unamaanisha kwamba Mungu mmoja Baba hutumia jina tofauti katika Enzi ya Baba, katika Enzi ya Mwana, na katika Enzi ya Roho Mtakatifu kuwaongoza wanadamu kwenye ufalme wa milele wa mbinguni.
Kwa kuwa Kanisa la Mungu linaamini kwamba Mungu Baba Yehova, Mungu Mwana Yesu, na Mungu Roho Mtakatifu Ahnsahnghong ni Mungu yule yule mmoja, waumini wa kanisa hilo wanasali katika jina la Kristo Ahnsahnghong, wakihubiri utukufu Wake.
“Mimi na Baba yangu tu umoja.” Yohana 10:30
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha