Katika nyakati za madhehebu na dini zisizohesabika, Yesu Alitofautisha ukweli, ambao kupitia huo tunaweza kupata wokovu kamili, na uongo kupitia Mfano wa Magugu.
Ngano ni sikukuu saba katika nyakati tatu—kweli za agano jipya kama Sabato na Pasaka, ambazo zilipandwa na Yesu katika enzi ya Kanisa la mapema.
Kwa upande mwingine, ibada ya Jumapili, Krismasi, na msalaba ni uongo—magugu ambayo yametokana na desturi za dini za kipagani, ambayo yaliletwa kanisani wakati wa Enzi za Giza. Biblia inashuhudia kwamba magugu yatachomwa motoni.
Kwa mujibu wa mafundisho ya Ahnsahnghong Kristo Aliyekuja mara ya pili, Kanisa la Mungu linashika sikukuu za agano jipya kama vile Yesu na mitume walivyoshika.
“Si kila mtu aniambiaye, ‘Bwana, Bwana,’ atakayeingia katika Ufalme wa Mbinguni, bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni. Mathayo 7:21
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha